Home News Wakenya Walalamika Baada Ya Gavana Sonko Kuachiliwa Uru

Wakenya Walalamika Baada Ya Gavana Sonko Kuachiliwa Uru

0

Habari zimetanda, nchini Kenya ni siku kadhaa zimepita baada ya gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko kuachiliwa toka mahakamani baada ya kulipa dhamani..maswali yamebaki kwa Wakenya hii tu imebainika kutokana na malalamishi iliyo mitandaoni, kama wasemavyo mnyonge hana haki apa wakenya wana haki kwelo, kiongozi kutiwa pingu kavuja mali ya wakenya, kidogo kalipa dhamana katoa wapi bado kafuja mali au faiza.

Lazima ufisadi uangamizwe na kuzikwa katika kaburu la sahau nchini kenyi eti kila mahali na ufisadi tu (corruption).

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here