Ngumu Marekani kuifadhili WHO hadi China ichukuliwe hatua- Pompeo

Waziri wa Mambo ya Kigeni Marekani Mike Pompeo amesema kosa kubwa lililofanywa na WHO na kuikwaza Marekani ni kutowachukulia hatua China ambao wamevunja kanuni za WHO kwa kushindwa kutoa taarifa kuhusu mlipuko wa corona mapema hadi virusi vikasambaa kwa kasi na kuua Watu wengi hivyo ni ngumu kwa Marekani kubadili maamuzi na kuifadhili tena WHO hadi China ichukuliwe hatua.

About Celebu 6111 Articles
Number 1 Online Kenya/East Africa Music Distributions and Promotion, All Rights Reserved. On DJ Celebu website we offer you some DJ Mixtapes, Gengetone, RnB, Hip Hop, Reggae, Gospel, Bongo Flava, Taarab, Asili, Mp3 Audio Downloads, Mp4 Videos Downloads.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*