Obrey Chirwa aongeza mkataba mpya Azam FC

Mshambuliaji wa Azam FC, Obrey Chirwa, ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo hadi mwishoni mwa msimu ujao Juni 2021.

Mkataba wa awali wa nyota huyo alioongeza Juni mwaka jana, ulikuwa unamalizika mwishoni mwa msimu huu.

About Celebu 6159 Articles
Number 1 Online Kenya/East Africa Music Distributions and Promotion, All Rights Reserved. On DJ Celebu website we offer you some DJ Mixtapes, Gengetone, RnB, Hip Hop, Reggae, Gospel, Bongo Flava, Taarab, Asili, Mp3 Audio Downloads, Mp4 Videos Downloads.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*