Rais Trump arudia kitisho chake dhidi ya Iran

Rais wa Marekani Donald Trump amerejea kitisho chake kwamba jeshi la majini la nchi hiyo litaharibu boti za doria za Iran iwapo zitazisogelea meli za kivita za Marekani kwa namna inayoziweka hatarini.

Trump amesema chini ya uongozi wake Marekani haitavumilia uchokozi wowote kutoka kwa Iran, kama ule uliotokea hivi karibuni katika ghuba ya uajemi.

Kulingana na duru nchini Marekani, boti za kasi za kikosi cha ulinzi wa mapinduzi cha Iran zilizichokoza meli za kivita za Marekani katika bahari ya kimataifa wiki iliyopita.

Duru hizo zimesema boti za Iran zilipuuza onyo kutoka meli za kivita za Marekani kwa karibu saa nzima.

About Celebu 6159 Articles
Number 1 Online Kenya/East Africa Music Distributions and Promotion, All Rights Reserved. On DJ Celebu website we offer you some DJ Mixtapes, Gengetone, RnB, Hip Hop, Reggae, Gospel, Bongo Flava, Taarab, Asili, Mp3 Audio Downloads, Mp4 Videos Downloads.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*