Swahili News

Watford yaanza na usajili wa kiungo kutoka klabu ya Le Havre

on

[ad_1]

Watford imekamilisha usajili wa kiungo Pape Gueye kutoka klabu ya Le Havre inayoshiriki Ligue 2 ya nchini Ufaransa kwa mkataba wa miaka mitano utakaoanza Julai 1, 2020.

[ad_2]

About Richard Wanyonyi

Richard Wanyonyi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *