List ya watu walioshtakiwa na Harmonize, wakiwemo Rayvanny na Baba levo (Harmonize & Rayvanny Beef)
List ya watu walioshtakiwa na Harmonize, wakiwemo Rayvanny na Baba levo (Harmonize & Rayvanny Beef)
Singer, Harmonize [PHOTO COURTESY]
List ya watu walioshtakiwa na Harmonize, wakiwemo Rayvanny na Baba levo (Harmonize & Rayvanny Beef)
Singer, Harmonize [PHOTO COURTESY]

TAARIFA KWA UMMA

Tunapenda kutoa taarifa kwa umma kwamba kuna akaunti mbalimbali za mitandao ya kijamii zimekuwa zikisambaza ujumbe, picha jongevu, na sauti zinazomuhusisha msanii anayejulikana kwa majina ya Harmonize, Tembo, Jeshi n.k wakilenga kumchafua, kumkashifu, kumdhalilisha, kuharibu biashara zake na kumtoa utu wake.

Tumebaini akaunti kadhaa kuhusika ni pamoja na akaunti
zifuatazo;

  1. Baby_udaku
  2. Rayvanny
  3. Officialbabalevo
  4. Divatheebawse
  5. Jumalokole2
  6. Bongotrending_habari
  7. Bintikigoma

Na nyingine nyingi.

RELATED: AUDIO | Harmonize – Vibaya

Matendo hayo ni makossa kisheria hivyo tunapenda kutoa taarifa kwa umma kwamba;

  1. Tunaandaa mashitaka ya kuwapeleka mahakamani wale wote waliohusika na usambazaji wa picha, sauti na video zinazomuhusisha mteja wetu. Tutadai fidia ya mabilioni ya fedha.
  2. Tunawaonya wale wote wanaoendelea na ukiukwaji huu wa sheria dhidi ya mteja wetu na tunawataka waache kufanya hivyo mara moja na kabisa. Imetolewa leo tarehe 14 April, 2021 Na.

Jerome J. Msemwa (Wakili mkuu wa ‘Harmonize’)

About Celebu 5988 Articles
Number 1 Online Kenya/East Africa Music Distributions and Promotion, All Rights Reserved. On DJ Celebu website we offer you some DJ Mixtapes, Gengetone, RnB, Hip Hop, Reggae, Gospel, Bongo Flava, Taarab, Asili, Mp3 Audio Downloads, Mp4 Videos Downloads.

Be the first to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.


*