Home Kenyan Music New Audio | Alvindo – Taka Taka | Download Mp3

New Audio | Alvindo – Taka Taka | Download Mp3

11968
0
SHARE

New Audio | Alvindo – Taka Taka | Download Mp3

This single titled as “Taka Taka” by Alvindo,  Is someone trying to get famous with this song? The song is so Funny enough this might be hyped to the extent of counting as a major club banger.

DOWNLOAD MP3

Also Check: The E360 Awards Nominees 2019 Full List

I think we can all do better and one could say that men hurt too and this could be one way of expressing it.

DOWNLOAD MP3

Here Below are the lyrics to the song.

Unakataa kua dem Yangu Naenda kwa Mrogi nakuroga unakufa na nakujaa kwa mazishi yako kukula na Kukunywa na kukula nikucheke ukizikwa

Unaringaga unaringa nini na sura mbaya ata kuliko mbuzi roho chafu kama ya shetani unadhaniaga ww ni nani.

Takata taka taka mapepo zinakufwata sijui ata ni nini niliona kwako ata ningejua ningekatia dadako

Ulinikataa juu ulijua ntakukataa na kama hungenikataa mi ningekukataa nilingoja tu we ndo unikatae 1st cos am a gentleman and ladies go 1st.

But let me tell u something young woman apana wekea wanaume roho ya chuma ukikatiwa joh kubali kukatika ama ukizeeka ndo maringo itaisha bure kabisa na ukwende kabisa na utume beshte yako akujie izo nguo ulibakisha*2

Kukupenda ndio mi huregretingi tu sana hata natamaningi hatungewai patana unaishi maisha fake na umejaa tu madrama ata nashukungu uliwachiangwa laana mara ati leo unaitwa natasha kesho umechange jina unaitwa soni mara uko single kesho ukona bwana mara unaishi ronga mara unaishi doni
I even suspected ur a criminal na kama we ndo dem acha nikae hivo staki ata mwingine acha nikufe single umeniacha na chronic bachelor syndrome

SONG WRITTEN AND PERFORMED BY ALVIN (ALVINDO)
A PROPERTY OF FASTCASH MUSIC GROUP
PRODUCED BY MAGIX ENGA
EXECUTIVE PRODUCER – KRG THE DON

Attachments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here